faida za kununua mtandaoni

FAIDA ZA KUNUNUA BIDHAA MTANDAONI

Tokea kugundulika kwa teknolojia ya mawasiliano(internet) imeenda kubadilisha nyanja mbalimbali ya maisha yetu. Jinsi tunavyowasiliana na marafiki, tunavyopata taarifa, jinsi tunavyo burudika na miziki na filamu na hatimaye pia jinsi tunavyo fanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa Tanzania hadi ilipofikia Januari 2021 ilikuwa na watumiaji wa intaneti takribani millioni 15 na kati …

FAIDA ZA KUNUNUA BIDHAA MTANDAONIRead More